ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

RC Kheri James Ashiriki Mahafali ya Chuo (Turnbull Tech College) Iringa, Asema Maarifa hayana Jinsia

Автор: Focus TV Tanzania

Загружено: 2025-07-26

Просмотров: 371

Описание: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameshiriki Mahafali ya Turnbull Tech College, akiwa mgeni Rasmi katika Hafla hiyo Maalum na muhimu ya Chuo hicho kinachotoa Kozi za Ufundi Stadi kwa Vijana wanaotoka ndani ya Mkoa wa Iringa na Mikoa Mingine Nchini Tanzania.

Katika Mahafali ya Chuo hicho, iliyofanyika Julai 26, 2025 katika Ukumbi wa Siasa ni Kilimo uliopo Manispaa ya Iringa mkoani Iringa, RC Kheri James, baada ya kuona asilimia 85 ya Wahitimu katika Chuo hicho ni Jinsia ya kike, amewataka Vijana wafute mawazo ya kizamani na waelewe kuwa Fani na Maarifa hayana Jinsia.

Aidha, RC Kheri James, amewahimiza Wakuu wa Vyuo vya Kati, Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu Mkoani Iringa kuendelea kuhakikisha kwamba Elimu wanayoitoa Kwa Vijana hasa eneo la ujuzi iendane na Mazingira na iwasaidie Vijana kuishi kwenye Mazingira waliyonayo ili iwe rahisi kwao kuzitambua fursa zinazowazunguka na kuzichangamkia.

Subscribe 'Focus TV' ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.

Focus TV inakupa Maudhui bora kuhusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Utamaduni, Michezo na Burudani.

Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Culture, Sports and Entertainments.

#FocusTVTanzania
..................
Focus TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.

Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing

We Love You | Tunakupenda
Regards
Team Focus TV Tanzania

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
RC Kheri James Ashiriki Mahafali ya Chuo (Turnbull Tech College) Iringa, Asema Maarifa hayana Jinsia

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Ndege Kubwa Za ATCL Kuanza Kutua Uwanja wa Iringa | Kikao Kazi Cha Mkoa cha Thibitisha

Ndege Kubwa Za ATCL Kuanza Kutua Uwanja wa Iringa | Kikao Kazi Cha Mkoa cha Thibitisha

MTIFUANO MZITO MBELE ya WAZIRI MKUU: MWANANCHI AMUWEKA MTU KATI MKURUGENZI - MWIGULU ATAKA ALIPWE...

MTIFUANO MZITO MBELE ya WAZIRI MKUU: MWANANCHI AMUWEKA MTU KATI MKURUGENZI - MWIGULU ATAKA ALIPWE...

Meli ya MV MWANZA Kazini

Meli ya MV MWANZA Kazini

TIBA ya MAZOEZI ya VIUNGO kwa WATOTO YATOLEWA BURE IRINGA, “WAZAZI MSIWAFICHE WATOTO”

TIBA ya MAZOEZI ya VIUNGO kwa WATOTO YATOLEWA BURE IRINGA, “WAZAZI MSIWAFICHE WATOTO”

Mwelekeo mpya wa Dr. Silaa juu ya Lissu,ataadharisha ripoti ya Umoja wa Mataifa.

Mwelekeo mpya wa Dr. Silaa juu ya Lissu,ataadharisha ripoti ya Umoja wa Mataifa.

Kasheshe Mkoani Iringa, Mama anadai Jeshi la Polisi

Kasheshe Mkoani Iringa, Mama anadai Jeshi la Polisi

WARUNDI

WARUNDI "HALI NGUMU NDIO INATUFANYA TUTOKE BURUNDI", UHAMIAJI TANZANIA WATOA TAMKO KALI

VIVUTIO VYA UTALII MKOANI IRINGA

VIVUTIO VYA UTALII MKOANI IRINGA

TRIFONIA ACADEMY WALIVYOFUNIKA KUCHEZA KILESO 2020

TRIFONIA ACADEMY WALIVYOFUNIKA KUCHEZA KILESO 2020

NYOTA NJEMA (96) #clamvevo #dunia #stivemweusi #lastchance #babajoan #dontatv #sahilmahili

NYOTA NJEMA (96) #clamvevo #dunia #stivemweusi #lastchance #babajoan #dontatv #sahilmahili

Mapokezi ya RC Kheri James Siku ya Kwanza Kazini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa

Mapokezi ya RC Kheri James Siku ya Kwanza Kazini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa

VIJANA WA CHADEMA WAZUIWA IRINGA WAKIELEKEA MBEYA MAADHIMISHO YA SIKU YA VIJANA, POLISI WATOA TAMKO

VIJANA WA CHADEMA WAZUIWA IRINGA WAKIELEKEA MBEYA MAADHIMISHO YA SIKU YA VIJANA, POLISI WATOA TAMKO

Остановить их — самая большая ошибка этих полицейских 💔

Остановить их — самая большая ошибка этих полицейских 💔

UREJESHAJI WA MTO MLOWO WAREJESHA TABASAMU KWA WANANCHI

UREJESHAJI WA MTO MLOWO WAREJESHA TABASAMU KWA WANANCHI

DC Kheri James Akifunga Mafunzo ya Askari Jeshi la Akiba Iringa Mjini

DC Kheri James Akifunga Mafunzo ya Askari Jeshi la Akiba Iringa Mjini

BALAA! SUGU ATIKISA IRINGA, AITWANGA CCM NA POLISI BILA HURUMA, ATAKA MABADILIKO

BALAA! SUGU ATIKISA IRINGA, AITWANGA CCM NA POLISI BILA HURUMA, ATAKA MABADILIKO

Zrzucili mikrofon 12 km w dół. Oto co usłyszeli

Zrzucili mikrofon 12 km w dół. Oto co usłyszeli

MZEE MASATU|ZANZIBAR MIMI SIENDI HATA KWA VIBOKO😂YANGA KAMA MAREKANI TUTAFUNGWA ZANZIBAR|NIMEUMIA

MZEE MASATU|ZANZIBAR MIMI SIENDI HATA KWA VIBOKO😂YANGA KAMA MAREKANI TUTAFUNGWA ZANZIBAR|NIMEUMIA

🔴#LIVE : [26.02.2026] OPERATION KOMBOA FAMILIA ( MAOMBI 12)

🔴#LIVE : [26.02.2026] OPERATION KOMBOA FAMILIA ( MAOMBI 12)

NI MARUFUKU KUFANYA SHUGHULI ZA KIJAMII KANDO KANDO MWA BWAWA LA MTERA-RC KHERI JAMES

NI MARUFUKU KUFANYA SHUGHULI ZA KIJAMII KANDO KANDO MWA BWAWA LA MTERA-RC KHERI JAMES

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]