HOJA MEZANI | Kero za wananchi zitatuliwe na viongozi wa maeneo yao kabla ya kufika serikali kuu
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-02-24
Просмотров: 69
Описание:
Mhadhiri kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam Dkt.Richard Mbunda amesema wananchi wanapaswa kutumia sauti zao kupitia viongozi waliouchagua ili kuwasilisha changamoto zinazo wakabili kwa ajili ya kutafutiwa ufumbuzi
Dkt. Mbunda amesisitiza kuwa viongozi wa ngazi za chini wanapaswa kufanya ziara za mara kwa mara katika maeneo yao ili kubaini na kushughulikia changamoto za wananchi ,badala ya kusubiri hadi viongozi wa ngazi za juu wafike ndipo hatua zichukiliwe.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: