ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WATOTO WA MIAKA 5 WAPONA ULEMAVU BAADA YA MSAADA WA WORLD VISION NA CCBRT

Автор: Makutano TV

Загружено: 2022-08-14

Просмотров: 622

Описание: Ester Timoth Mapunda na Winfrida Christopher Mwenda ni watoto wenye umri wa miaka mitano, watoto hawa wakiwa katika hatua ya ukuaji walipata changamoto iliyopelekea ulemavu, baada ya kupatiwa msaada wa utengamao kupitia shirika lisilo lakiserikali la World vision watoto hawa wamepona.

Katika Makala hii tunaangazia mchango wa asasi za kiraia katik kumlinda mtoto na kuleta haki na ustawi wa mtoto, World Vision Tanzania  katika Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na Serikali  wameweza kujenga miundo mbinu kwa watoto wenye ulemavu, na kutoa kadi za bima ya afya kwa Zaidi ya  watoto 400.

Tupo katika kijiji cha Ikungwe na Muwimbi Iringa vijijini na hapa ndipo  watoto  Ester  na Winifrida wanaendelea na maisha yao kama kawaida bada ya muujiza wa mponyaji, wazazi wanasimulia Furaha yao ya kupona kwa watoto hawa

Mtaalamu wa tiba kwa vitendo na mratibu wa huduma za vitimwendo CCRBT Moshi,  Bi Neophita Lukiringi  anasema miongoni mwa sababu zinazoweza  kupelekea mtoto  kupata ulemavu ni pamoja na ukosefu wa chakula bora wakati wa ukuaji wa mtoto, kuumia kwa ubongo mtoto anapozaliwa kunakotokana na mama kuchelewa kujifungua  ama baada ya kuzaliwa kama atapata homa kali au kuanguka na kuumia ubongo

Msimamizi wa watoto kutoka World vision anazungumza namna walivyotambua watoto hawana na ufuatiliaji uliofanyika

Kwa mujibu wa mwongozo wa Taifa wa utambuzi wa mapema na afya stahiki kwa watoto wenye ulemavu unaeleza kuwa tafiti  zinaonyesha  ulemavu unaweza kuzuilika kwa asilimia 80, pia imedhihirika kuwa utambuzi wa mapema wa ulemavu kwa mtoto unaweza kupunguza makali na athari za ulemavu ukubwani na katika Makala hii tumeona utambuzi wa mapema umesaidia mtoto Ester na Winfrida kuweza kupona.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WATOTO WA MIAKA 5 WAPONA ULEMAVU  BAADA YA MSAADA WA  WORLD VISION NA CCBRT

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KITUO CHA UPIMAJI WATOTO WENYE ULEMAVU CHALETA MATUMAINI KWA WAZAZI

KITUO CHA UPIMAJI WATOTO WENYE ULEMAVU CHALETA MATUMAINI KWA WAZAZI

TIBA YA MAZOEZI KWA WATOTO WENYE ULEMAVU..SAMBAMBA-CALL AFRICA

TIBA YA MAZOEZI KWA WATOTO WENYE ULEMAVU..SAMBAMBA-CALL AFRICA

MRADI WA IEA - SOS  NA MANUFAA YA  KAMATI  ZA  MTAKUWWA

MRADI WA IEA - SOS NA MANUFAA YA KAMATI ZA MTAKUWWA

VITIMWENDO

VITIMWENDO "MIGUU" MUHIMU KWA WATOTO WENYE ULEMAVU

INUABIZ ACCELERATOR  DOCUMENTARY

INUABIZ ACCELERATOR DOCUMENTARY

CCBRT inavyosaidia watoto wenye matatizo ya mpoozo wa ubongo

CCBRT inavyosaidia watoto wenye matatizo ya mpoozo wa ubongo

GREEN JOBS PROJECT INTERVENTIONS IN MALAWI

GREEN JOBS PROJECT INTERVENTIONS IN MALAWI

💥АСЛАНЯН: ВСЁ! В РФ начался НАСТОЯЩИЙ АД. Москвичи НА ГРАНИ БУНТА. Путин В АУТЕ: Москва ПОД УДАРОМ

💥АСЛАНЯН: ВСЁ! В РФ начался НАСТОЯЩИЙ АД. Москвичи НА ГРАНИ БУНТА. Путин В АУТЕ: Москва ПОД УДАРОМ

KIPERA SHULE YA MSINGI  KONGWE NA MAPINDUZI YA ELIMU JUMUISHI

KIPERA SHULE YA MSINGI KONGWE NA MAPINDUZI YA ELIMU JUMUISHI

Youth Power in Motion: Transforming the Future of Nutrition in Kajiado County.

Youth Power in Motion: Transforming the Future of Nutrition in Kajiado County.

⚡️У Путина СРОЧНО ЗАГОВОРИЛИ о КОНЦЕ ВОЙНЫ! Зеленский НАЗВАЛ ГЛАВНЫЙ КОЗЫРЬ Украины. Лучшее

⚡️У Путина СРОЧНО ЗАГОВОРИЛИ о КОНЦЕ ВОЙНЫ! Зеленский НАЗВАЛ ГЛАВНЫЙ КОЗЫРЬ Украины. Лучшее

KUUUNGUA KWA SOKO NA ATHARI KWA WATOTO WA KIUME  MTAANI

KUUUNGUA KWA SOKO NA ATHARI KWA WATOTO WA KIUME MTAANI

WATOTO WALEMAVU WANAVYOFANYISHWA MAZOEZI HADI KUPONA

WATOTO WALEMAVU WANAVYOFANYISHWA MAZOEZI HADI KUPONA "MSIWAFUNGIE NDANI, WASAIDIENI WASIWE TEGEMEZI"

''WATOTO WENYE MGUU KIFUNDO HUDUMA NI BURE''_MKURUGENZI CCBRT

''WATOTO WENYE MGUU KIFUNDO HUDUMA NI BURE''_MKURUGENZI CCBRT

KADI YA ALAMA KUIMARISHA MFUMO WA TAARIFA ZA MTOTO IRINGA

KADI YA ALAMA KUIMARISHA MFUMO WA TAARIFA ZA MTOTO IRINGA

The New Africa Fund Turns FIVE: A Celebration of half a decade of impact

The New Africa Fund Turns FIVE: A Celebration of half a decade of impact

Фермеры против власти: что происходит со скотом в Сибири и почему люди выходят на протесты

Фермеры против власти: что происходит со скотом в Сибири и почему люди выходят на протесты

КОМОК и Слизь В ГОРЛЕ Это НЕ Простуда! Доктор Мясников

КОМОК и Слизь В ГОРЛЕ Это НЕ Простуда! Доктор Мясников

NYUMA YA MKASA WA MTOTO ALIYEUAWA NA WANANCHI

NYUMA YA MKASA WA MTOTO ALIYEUAWA NA WANANCHI

СЛУШАЙТЕ, что ТВОРИТСЯ в ИРАНЕ! ФЕЙГИН, БЕЛКОВСКИЙ: Хаменеи СКРЫВАЕТСЯ в МОСКВЕ!? Ну и НОВОСТИ

СЛУШАЙТЕ, что ТВОРИТСЯ в ИРАНЕ! ФЕЙГИН, БЕЛКОВСКИЙ: Хаменеи СКРЫВАЕТСЯ в МОСКВЕ!? Ну и НОВОСТИ

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]