'Nilifungwa kizazi kwa kuwa na virusi vya Ukimwi'
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2023-12-01
Просмотров: 557
Описание:
Wanawake wanne wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) nchini Kenya wamelipwa dola 20,000 kila mmoja kama fidia kwa kufungwa kizazi bila ridhaa yao.
Wamesimulia BBC yale waliyopitia katika safari yao ya kutafuta haki.
#bbcswahili #kenya #HIV
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: