Kenya na Ghana kuchunguza Mrusi kuhusu video za siri za wanawake. Katika Dira ya Dunia TV
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2026-02-16
Просмотров: 9257
Описание:
Serikali ya Kenya imesema inachunguza matukio yanayomhusu mwanaume mmoja raia wa Urusi anayeshutumiwa kwa kurekodi matukio yake ya kimapenzi na wanawake kadhaa, na kisha kuweka video hizo mtandaoni bila wao kuridhia.
Waziri wa jinsia Hanna Cheptumo ametaja tukio hilo kama la kufedhesha na ukiukwaji mkubwa wa usiri na haki ambazo zimelindwa kisheria.
#Kenya #bbcswahili #bbcswahilileo #Urusi #Videozasiri
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: