Mwanzo mwisho kilichotokea kiwanda cha Mtibwa Sugar kulipuka na kuua watu 11
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-05-23
Просмотров: 18742
Описание:
Kufuatia watu 11 kufariki kwa ajali ya Mlipuko wa bomba la kusafirishia Joto kwenye kiwanda cha kuzalisha Sukari cha Mtibwa kilichopo Morogoro Juma Ramadhan palamba Meneja wa umeme ambaye ni Manusura wa ajali hiyo ameeleza ilivyo tokea.
Juma amesema walitarajia kuanza uzalishaji wa Sukari leo Mei 23 lakini wakati wanafanya majaribio ya Mitambo ndio ukatokea mlipuko huo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: