Mdee aliamsha bungeni migogoro ya ardhi Kawe
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-05-24
Просмотров: 948
Описание:
Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee ameng’aka bungeni wakati akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, jijini Dodoma leo Mei 24, 2024.
Mdee amesema kumekuwa na migogoro mingi ya ardhi inayotokana na Serikali kushindwa kupima na kupanga maeneo mengi ya ardhi.
Amesema wananchi wana matumaini makubwa na wizara hiyo kutokana na mpango waliouanzisha wa kliniki ya ardhi, hivyo waziri mwenye dhamana aende akawasikilize wananchi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: