Wamasai wa Ngorongoro waendelea kulilia haki zao
Автор: The Chanzo
Загружено: 2024-08-20
Просмотров: 7988
Описание:
Katika nyika za Ngorongoro kuanzia Agosti 19, wamasai wake kwa waume walijitokeza kudai haki zao kupitia maandamano ndani ya Ngorongoro.
Wamasai hawa wanadai haki ya kuishi bila kubughudhiwa huku wakisemama kwa sasa ili kuingia na kutoka lazima wawe na kibali
Magari yao lazima wayalipie kuingia katika makazi yao
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: