Ni kwa nini Uganda imekubali kuwapokea wahamiaji waliofurushwa Marekani? Katika Dira ya Dunia TV
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2025-08-21
Просмотров: 20749
Описание:
Serikali ya Uganda imethibitisha kuweka makubaliano na Marekani ya kuwapokea wahamiaji waliokosa kupata hifadhi nchini humo. Hatua hii ni sehemu ya mpango wa serikali ya Rais Donald Trump kushawishi mataifa mengi zaidi duniani kuwakubali wahamiaji waliofukuzwa nchini humo. Hatua hii imekashifiwa na mashirika ya kutetea haki za kibinadamu duniani.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: