“HATUKUIPELEKA CHADEMA MAHAKAMANI KUIHUKUMU” SAID ISSA MOHAMMED
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 635
Описание:
#HABARI: Aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Mhe. Said Issa Mohammed, amefafanua kuwa shauri la mgawanyo wa mali za chama alilolifungua halilengi kukifuta chama hicho kama baadhi ya wanachama wanavyodhania.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, amebainisha kuwa lengo lake ni kupata ufafanuzi na haki kuhusu mgawanyo wa rasilimali ndani ya chama ili kuimarisha utendaji na uwazi.
Mhe. Said Issa ameeleza kuwa katika kipindi cha mwaka 2015-2025, CHADEMA ilipokea ruzuku ya takriban shilingi milioni 117 kwa ajili ya uendeshaji, lakini upande wa Zanzibar ulipewa kiasi cha shilingi milioni 2 pekee.
Amesema kuwa kiasi hicho ni kidogo sana na hakiendani na gharama halisi za kukiendesha chama hicho kwa upande wa Zanzibar, jambo lililopelekea kuchukua hatua hiyo ya kisheria.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzaniaUsisahau
kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: