ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Uchaguzi mkuu wa Tanzania, Haukuwa huru wala wa haki ulikiuka maadili na kanuni za kidemokrasia- AU

#BBCNewsSwahili

Tanzania

Uchaguzimkuu

#uchaguzi

Samiasuluhuhassan

Автор: BBC News Swahili

Загружено: 2025-11-06

Просмотров: 216284

Описание: Uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025 ulikiuka maadili ya kidemokrasia na uligubikwa na dosari chungu nzima.

Ripoti ya Umoja wa Afrika- @africanunion_official ambayo imeituhumu Tanzania kwa kukiuka maadili na kanuni za kidemokrasia hususan katika kipindi cha uchaguzi uliokamilika.
-
"Tanzania inahitaji kuwajibikia wananchi wake kuheshimu maoni tofauti ya kisiasa, kuimarisha ushiriki wa wananchi katika michakato ya kisiasa”- Ripoti ilitoa mapendekezo.

Rais Samia Suluhu Hassan aliyetangazwa mshindi na asilimia 98% ya kura zote zilizopigwa, hakuficha mawazo yake alipotangaza wazi kuwa Tanzania haitakubali kulekezwa.

"Maagizo ya kutuelekeza nini cha kufanya tumeyakata Hata hivyo "
Ushauri wao tutauzingatia ili tufanye vizuri zaidi siku zijazo''

Tume huru ya uchaguzi Tanzania kwa upande wake erikali imesisitiza kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika ulikuwa huru na wa haki fauka ya ripoti za taasisi za EU EAC SADC na sasa AU kusema vinginevyo.

-
Munira Hussein ametuandalia tathmini hii
-
-
#bbcswahili #tanzania #maandamano #uchaguzi #africanunion #sadc #umojawaulaya #Eu

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Uchaguzi mkuu wa Tanzania, Haukuwa huru wala wa haki ulikiuka maadili na kanuni za kidemokrasia- AU

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Maandalizi ya uchaguzi mkuu Uganda. Katika Dira ya Dunia TV

Maandamano Marekani baada ya afisa wa uhamiaji kumuua mwanamke. Katika Dira ya Dunia TV

Kwanini Trump anataka kuichukua Greenland kwa nguvu? Katika Dira ya Dunia TV

Ushawishi wa Marekani kufifia baada ya kujiondoa katika mashirika 66 kimataifa?

Meli ya Urusi iliyokamatwa na Marekani inahusishwa vipi na Venezuela?

Ulinzi mkali: China, Urusi zatoa kauli huku Maduro na mke wake wakishtakiwa New York

Wanajeshi wa Guinea-Bissau waipindua serikali na kumkamata Rais Embaló, katika Dira ya Dunia TV

Mustakabali wa Venezuela baada ya rais wa mpito kuapishwa: Katika Dira ya Dunia TV

PROTEKTOR | Jason Statham | akcja, kryminał, thriller | cały film | lektor po polsku

VIDEO YA SIMBACHAWENE INAYO TIKISA MITANDAONI KABLA YA KUTUMBULIWA KUMBE ALIMPA MAAGIZO IGP...

Uhusiano wa Tanzania na Marekani upo mashakani baada ya maandamano, katika Dira ya Dunia TV

Trump: Tutachukua mafuta ambayo tulipaswa kuyachukua tangu zamani Venezuela

Jeshi lamuapisha Jenerali Horta N'Tam kama rais mpya wa Guinea Bissau, katika Dira ya Dunia TV

Umoja wa Mataifa wataka Tundu Lissu aachiliwe bila masharti, katika Dira ya Dunia TV

Je, kukatizwa kwa ufadhili Tanzania kutaleta athari gani kiuchumi? Katika Dira ya Dunia TV

Maduro akanusha mashtaka dhidi yake New York. Katika Dira ya Dunia TV

Kwanini serikali ya Tanzania imemshtaki Mange Kimambi? Katika Dira ya Dunia TV

Makala maalum ya uchaguzi Tanzania, katika Dira ya Dunia TV

BREAKING: MWAMBUKUSI AMTAKA RAIS SAMIA AJIUZULU ATOBOA SIRI NZITO...

Jeshi la polisi Tanzania lapiga marufuku maandamano ya Desemba 9. Katika Dira ya Dunia TV

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]