Meli ya Urusi iliyokamatwa na Marekani inahusishwa vipi na Venezuela?
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2026-01-07
Просмотров: 38665
Описание:
Marekani inasema imekamata meli ya mafuta ya Urusi iliyokuwa ikisafiri katika Bahari ya Atlantiki Kaskazini. Moscow imeshutumu vikali kukamatwa kwa meli hiyo, ikisema hakuna taifa lenye haki ya kutumia nguvu dhidi ya meli zilizosajiliwa kihalali katika mataifa mengine. Katika Dira ya Dunia TV na Peter Mwangangi #Trump #Putin #Venezuela
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: