DC Temeke aamuru madereva, wamiliki wa viwanda wanaoegesha magari kiholela kuchukuliwa hatua
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-04-17
Просмотров: 426
Описание:
Mkuu wa wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa barabara ikiwemo TANROADS kuwachukuliwa hatua madereva wa malori na wamiliki wa viwanda wanaoegesha magari kando ya barabara bila kufuata utaratibu wa kisheria.
Mapunda ameyasema hayo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika eneo la barabara ya Mbozi kata ya Chang'ombe wilayani humo Aprili 16, 2024.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: