Mbio za Mwenge zazindua madarasa na vyoo katika shule ya kwanza ya sekondari ya juu wilayani Pangani
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-04-17
Просмотров: 67
Описание:
Wilaya ya Pangani mkoani Tanga imetekeleza mradi wa ujenzi wa madarasa manne pamoja na matundu ya vyoo kwenye shule ya Sekondari Funguni kwaajili ya mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita.
Mbunge wa jimbo la Pangani, Jumaa Aweso amesema kabla ya uzinduzi huo uliofanywa na kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa, Gofrey Mzava wilaya hiyo haikuwa na shule ya elimu ya juu ya sekondari.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: