Upinzani watishia kuandamana iwapo wahusika hawatachukuliwa hatua
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-01-30
Просмотров: 37
Описание:
Muungano wa viongozi wa upinzani umetishia kuanzisha maandamano ya kitaifa iwapo waliohusika kumshambulia kinara wa dcp Rigathi Gachagua kanisani othaya hawatachukuliwa hatua.
Wakizungumza baada ya mkutano na inspekta generali wa polisi douglas kanja, viongozi hao wamelalamikia utovu wa usalama nchini ambao umechangiwa na wahuni wanaotumika kuwashambulia wananchi na viongozi wakiitaka idara ya polisi kukabiliana na wahuni nchini.
Jamees Mwangi na taarifa ile
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: