Wanabodaboda wapinga kuhusishwa na matumizi mabaya ya fedha za kaunti
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-01-29
Просмотров: 31
Описание: Maswali yanaendelea kuibuliwa kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma katika Kaunti ya Embu, uchunguzi ukibaini kuwa shilingi milioni kumi zilizotengwa maendeleo ya viwanda zilitumiwa kugharamia mkutano wa kisiasa. Pesa hizo zilitumiwA kugharamai mkutano wa kuwawezesha wahudumu wa bodaboda kaunti ya Embu. Gavana wa Embu, Cecily Mbarire, amekiri kuidhinisha utoaji wa fedha hizo huku maseneta wakionya kuhusu utumizi mbaya wa fedha za maendeleo. Katika kaunti hiyo wahudumu wa bodaboda wameandamana wakipinga kuhusishwa na Sakata hiyo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: