Marekani yafuta viza kwa wanafunzi kutoka nje, katika Dira ya Dunia TV
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2025-05-28
Просмотров: 36707
Описание:
Utawala wa rais Donald Trump nchini Marekani umesimamisha maombi mapya ya viza za wanafunzi wanaotaka kusoma nchini humo kutoka mataifa ya nje. Pia Marekani imesisitiza kuwa itapanua uchunguzi wake wa mitandao ya kijamii kwa wanafunzi wapya.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: