Kupitia simu janja wafugaji wanaweza kudhibiti magonjwa ya mifugo
Автор: Habari za UN
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 32
Описание:
#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili
Magonjwa ya mifugo yanaendelea kuwa changamoto duniani, yakisababisha vifo, kushuka kwa uzalishaji na hasara kwa wafugaji. Nchini Tanzania shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa – FAO linaimarisha udhibiti na ufuatiliaji wa magonjwa hayo kupitia matumizi ya teknolojia ya kidijitali, hususan mfumo wa EMA‑i+, yaani Event Mobile Application – improved plus. Assumpta Massoi anasimulia zaidi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: