Baadhi ya matukio yaliyotokea kwenye Dar es Salaam AfyaCheck iliyofanyika 20 - 29 June 2024
Автор: AfyaCheck
Загружено: 2024-10-01
Просмотров: 84
Описание: Kuanzia tarehe 20 mpaka 29 mwezi Juni mwaka huu wa 2024. AfyaCheck tuliendesha kambi yetu ya kila mwaka ya upimaji wa bure wa afya kwa wakazi wa Dar es Salaam yaani Dar es Salaam AfyaCheck Campaign 2024. Utaratibu wa kuandaa na kuendesha kambi za upimaji wa bure wa afya yaani AfyaCheck Community Outreach Programs (ACOP) hasa kwa mkoa wa Dar es Salaam tuliuanza tangu mwaka 2009. Kwenye kambi yetu ya mwaka huu wana Dar es Salaam zaidi ya 7,500 walipatiwa huduma za bure za afya kutoka kwa zaidi ya hospitali 8 zinazotoa huduma zake mkoani Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla. Kambi hii imekuwa suluhisho muhimu la uhitaji wa huduma bora za afya kwa watanzania wasio na uwezo wa kiuchumi wa kuweza kupata wanazozihitaji za afya.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: