TWATARAJIA MJI - Mzizima SDA Choir [Official Video 4K]
Автор: MZIZIMA SDA CHURCH
Загружено: 2024-11-15
Просмотров: 8936
Описание:
Ni wimbo uliotokana na ahadi za Mungu na hakika kwamba tunaweza kuishi bila majuto😊 tunapotazamia siku hiyo tukufu,tukijua kwamba siku moja tutakuwa naye milele🙌. Ninakukaribisha kusikiliza, kutafakari, na kuacha ujumbe huu ujaze moyo wako na hisia mpya za kusudi na imani katika Bwana wetu Yesu Kristo
Music and Composition: Rasford Amos
Lyrics: Rasford Amos
Audio: Bjbrand studios
Video: Marcko zacky
Instrumentation: Bwanga Tayari
Lyrics
Twatarajia mji mpya, uliojengwa na mwokozi.
Mji ulioimarika, hatutajuta kuingia.
Chorus
Hatutajuta kuingia, Mji Yesu aliojenga.
Mioyo yetu 'tatoshelezwa.
Hatutajuta kuingia!
Yesu atakuwa ni mfalme, milele zote 'tatawala.
Amani tuliyopoteza, mbinguni atairejesha.
Kila mtu amealikwa, kuwa mrithi wa ufalme.
Leo waweza kuchagua.
Hatutajuta kuingia!
©Mzizima SDA Choir 2024
#hymns #sdahymns #christianhymns #sdachurch
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: