YESU MWOKOZI MPENDWA - Mzizima SDA Choir (Official Video 4K)
Автор: MZIZIMA SDA CHURCH
Загружено: 2024-09-27
Просмотров: 13276
Описание:
Ni rafiki wa thamani wa sasa na hata milele. Nimemtafuta, nikampata, na sasa ni wangu si hapa duniani tu, bali hata katika nchi mpya sitatengana naye.
Uwepo wake, ndiyo thamani halisi ya maisha yangu, nawezaje kutompenda? Nafasi yake haina mbadala,
Yeye pekee ndiye Mwokozi wetu sote, na ni rafiki wa pekee.
Karibu tutafakari vile Yesu alivyo wa pekee kwetu.
"Yesu Mwokozi Mpendwa
Composer: Benjamin A. Baur
Translation and Rearrangement: Daniel E Champanda & Rasford Amos
Audio: Bjbrand studios
Video: Marcko zacky
Instrumentation: Jacob Mang'ombe
Lyrics
Yesu mwokozi mpendwa, hakuna mwingine.
Yesu mwokozi mpendwa, ninakutazama(wewe pekee).
Yesu mwokozi mpendwa ninakutafuta, wewe u mali yangu sasa na milele.
Yesu mwokozi mpendwa, wa thamani kwangu.
Wewe u rafiki mwema, nakutumaini (wewe pekee).
Hakuna wakulingana katika dunia, Jina lako nasifu sasa na milele.
Yesu Mwokozi mpendwa, ninakupa moyo.
Nifanye kao la Roho, niwe mkamilifu ( kama ulivyo).
Ningali ulimwenguni, nikutumikie.
Nitembee na wewe, sasa na milele.
Sasa na milele.
@Mzizima SDA Choir 2024
#hymns #sdahymns #christianhymns #sdachurch
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: