Siri za wanamuziki baada ya janga la corona
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2020-11-13
Просмотров: 998
Описание:
Virusi vya Corona vimeathiri sekta mbali mbali kote duniani. Na sasa licha ya kwamba itifaki zilizokuwa zimewekwa ili kuzuia maambukizi ya Corona zimeanza kulegezwa, bado athari za Corona zinashuhudiwa hususan katika sekta ya muziki.
Swali kuu ni je, wanamuziki wanaweza kufanya nini ili kujiinua tena na kuendelea kupata mapato yao baada ya Corona?
#bbcswahili #muziki #sanaa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: