Nani ataiongoza Iran baada ya Ayatollah Ali Khamenei kuuawa na Marekani na Israel?
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2026-03-02
Просмотров: 6374
Описание: Ayatollah Ali Khamenei alikuwa kiongozi mkuu wa Iran tangu 1989, na ni mmoja wa wakuu wa nchi waliohudumu kwa muda mrefu zaidi duniani. Alikuwa kiongozi mkuu wa pili nchini Iran tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979. Nje ya taifa la Iran, alihubiri 'kuiangamiza Marekani' katika maisha yake yote. Hata hivyo, nani anaiongoza Iran baada ya kifo chake? #DiraYaDuniaTV
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: