Waislamu waanza kufunga Ramadhan Kenya, viongozi wahimiza kusaidia maskini na kuimarisha usalama
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-18
Просмотров: 1263
Описание: Baadhi ya waislamu nchini na ulimwenguni wameanza kufunga mwezi mtukufu wa ramadhan, kwenye ibada inayowazuia kula na kunywa kwa muda wa mwezi mmoja. Viongozi wa kidini pamoja na wasilamu wamewataka wakenya kutumia mwezi huu kuwakumbuka wasiojiweza hasa wanaokabiliwa na makali ya njaa nchini. Katika kaunti ya Mombasa, waisilamu wametaka usalama kuimarishwa hasa nyakati za swala za usiku
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: