POLISI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA MOMBASA
Автор: Al Haajar TV Kenya
Загружено: 2026-02-18
Просмотров: 1706
Описание:
Zaidi ya miaka saba baadaye, familia ya Mbarka Maitha Omar wa Likoni yapata haki huku aliyekuwa afisa wa polisi Yunus Athman akihukumiwa kifungo cha maisha.
HAKI Africa yapongeza hatua hiyo na kusisitiza kuwa ni ushindi kwa haki za binadamu na uwajibikaji wa vyombo vya usalama.
IPOA na ODPP zasifiwa kwa uchunguzi na mashtaka yaliyofanikisha hukumu hiyo.
#news #live #kenya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: