Wakaazi wa kaunti ya Kisii watoa hisia tofauti kuhusu ripoti ya BBI
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2020-11-26
Просмотров: 1075
Описание: Wenyeji wa kaunti ya Kisii wametoa hisia mseto kuhusu mageuzi ya katiba kupitia mchakato wa BBI wengi wakisema hawajapata nakala za ripoti hiyo mashinani. Aidha, baadhi wanasema huu sio muda mwafaka wa kuzindua shughuli hiyo wakati janga la Corona linapozidi kuwahangaisha wakenya.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: