Kampuni ya bima ya directline yalipa fidia kwa shule ya msingi ya Nyamotaro
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2022-09-23
Просмотров: 1235
Описание: Kampuni ya bima ya Directline imelipa shule ya Msingi ya Nyamotaro kule Nyamira fidia ya zaidi ya shilingi laki sita baada ya gari la kampuni ya ENA kuhusika kwenye ajali na kuharibu majengo ya shule hiyo miezi michache iliyopita . Uongozi wa kampuni hiyo ya Directline pia umetoa pesa za ujenzi wa madarasa kadhaa ndani ya shule hiyo kama mojawapo ya mikakati ya kuboresha hali ndani shule hiyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: