POLYFOAM: WATAALAMU wa BIDHAA za PLASTIKI za KISASA na VIFUNGASHIO...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-07-10
Просмотров: 1147
Описание:
POLYFOAM: WATAALAMU wa BIDHAA za PLASTIKI za KISASA na VIFUNGASHIO...
Tunatengeneza bidhaa bora na za kudumu kama: Viti vya kisasa, Beseni imara, Chupa za chai na bidhaa nyingine nyingi kwa matumizi ya nyumbani na ofisini.
Pia tunatengeneza vifungashio aina zote kama chupa za maji, chupa za juice, medicine jar, chupa za asali, bucket za kilo 1 na kilo 4.
Msimu huu wa Maonesho ya SABA SABA, tumekuandalia OFa MAALUM usiyopaswa kuikosa!
Karibuni sana tuweze kuwahudumia
Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi:
0788 39 14 12
0755 39 14 12
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: