Mnyika Apingana na Rais Samia, "Tanzania Siyo Shwari, CHADEMA Iko Kifungoni na Lissu Yuko Gerezani."
Автор: The Chanzo
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 383
Описание:
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema hali ya kisiasa nchini Tanzania haiwezi kuwa shwari wakati kiongozi mkuu wa chama kikuu cha upinzani yupo gerezani akikabiliwa na kesi ya uhaini wanayodai ni ya kubambikiwa.
Mnyika ameyasema hayo leo nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, akipinga kauli ya Samia Suluhu Hassan aliyedai katika mazungumzo yake na Rais wa Ghana kuwa hali ya kisiasa nchini ni shwari Amesisitiza kuwa jamii ya kimataifa isikubali kile alichokiita upotoshaji kuhusu taswira halisi ya siasa za Tanzania.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: