EL MENCHO GWIJI HATARI wa DAWA za KULEVYA ALIVYOUAWA MILIMANI BAADA ya OPERESHENI KALI ya WANAJESHI
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-02-24
Просмотров: 763
Описание:
EL MENCHO GWIJI HATARI wa DAWA za KULEVYA ALIVYOUAWA MILIMANI BAADA ya OPERESHENI KALI ya WANAJESHI
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; JUMA KAHEMELA
Ghasia za umwagaji damu zimeikumba Meksiko baada ya kuuawa kwa kinara wa genge la dawa za kulevya Nemesio Oseguera Cervantes maarufu kama El Mencho, tukio lililotikisa mfumo mzima wa usalama wa nchi hiyo na kuzua mapigano makali katika majimbo mengi huku wataalamu wakionya huenda taifa hilo likakumbwa na kile wanachokiita hali ya “vita kamili” kati ya magenge na vikosi vya dola. Ndani ya saa chache baada ya taarifa ya kifo chake kuthibitishwa, barabara zilifungwa kwa magari yaliyoteketezwa kwa moto, milio ya risasi ilisikika katika miji kadhaa, na wananchi wengi walijifungia majumbani wakihofia maisha yao.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: