HELIKOPTA ya KIJESHI ya IRAN YAANGUKA na KULIPUKA SOKONI - WANAJESHI WALIOKUWEMO WADAIWA KUFARIKI
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-02-24
Просмотров: 5949
Описание:
HELIKOPTA ya KIJESHI ya IRAN YAANGUKA na KULIPUKA SOKONI - WANAJESHI WALIOKUWEMO WADAIWA KUFARIKI 📍IRAN
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; BAKARI MAHUNDU
Helikopta ya kijeshi ya Iran imeanguka katika soko lenye shughuli nyingi karibu na mji wa Isfahan, tukio lililosababisha mlipuko mkubwa, moto mkali na taharuki kubwa miongoni mwa mamia ya raia waliokuwa wakifanya biashara zao za kila siku. Ajali hiyo imetokea katika eneo lenye umuhimu mkubwa wa kimkakati, umbali wa takriban kilomita 330 kutoka mji mkuu wa Tehran na karibu na moja ya vituo muhimu vya nyuklia vya Iran ambavyo vimekuwa kitovu cha mvutano wa kimataifa kwa miaka kadhaa.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: