SOKA KIJIWENI: Uso kwa uso na nyota wa Kagera Sugar, Awesu aizungumzia kadi nyekundu dhidi ya Yanga
Автор: Azam TV
Загружено: 2020-07-28
Просмотров: 41305
Описание:
Timu ya Soka Kijiweni kutoka #AzamSports imefunga safari hadi Kagera kukutana na mchezaji kinara Awesu Awesu ambaye amepiga stori kibao na Jamal Abbas 'Dodi' na kubwa zaidi ni ile kadi nyekundu aliyooneshwa katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la #AzamSports dhidi ya Yanga SC uliopigwa Juni 30, mwaka huu.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: