SOKA KIJIWENI | Yafahamu maisha ya Mchezaji Abdul Nassir kutoka Mlandege FC ya Zanzibar
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-02-28
Просмотров: 6463
Описание:
Tazama kipindi cha Soka Kijiweni sambamba na Mchezaji wa Mlandege FC, Abdul Nassir na hapa anazungumzia maisha yake ndani ya soka na nje ya soka pia kipindi kinaangazia maisha ya Visiwani Zanzibar kwa ujumla.
Soka Kijiweni huruka kila Jumatatu kuanzia saa 12:30 Jioni hadi saa 1:00 usiku kupitia #AzamSports1HD
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: