Waziri wa zamani Ali Mwakwere atawazwa kuwa hatibu wa jamii ya Mijikenda
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2025-12-27
Просмотров: 82
Описание:
Waziri wa zamani ambaye pia alikuwa mbunge wa Matuga Chirau Ali Mwakwere ametawazwa kuwa msemaji wa jamii ya Mijikenda ambapo atawakilisha jamii ndogo tisa kutoka eneo la Pwani. Hafla hiyo iliyoandaliwa kwenye kijiji cha Vishakani huko Kaloleni, kaunti ya Kilifi, ilisadifiana na ukumbusho wa miaka-53 baada ya kifo cha Ronald Ngala, hatua ambayo ni muhimu katika ukumbusho na ufufuo wa umoja wa jamii hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: