Wafanyabiashara Eastleigh walalamikia ukosefu wa huduma bora
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2025-12-27
Просмотров: 499
Описание:
Baadhi ya wafanyabiashara na wakazi wa mtaa wa Eastleigh jijini Nairobi wamelalamikia kuzorota kwa miundombinu na huduma katika eneo hilo. Wamesema kuwa kando na barabara mbovu, pia wanakabiliwa na uhaba wa maji pamoja na kukatika kwa umeme mara kwa mara, hali inayowalazimu kutegemea majenereta.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: