WABUNGE Wamlilia Prof. Maji Marefu, Wakumbuka Ukarimu wake
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-07-03
Просмотров: 6281
Описание:
WABUNGE Wamlilia Prof. Maji Marefu, Wakumbuka Ukarimu wake
Kufuatia kifo cha Mbunge wa Korogwe kwa tiketi ya CCM, Steven Ngonyani 'Prof Maji Marefu' kilichotokea usiku wa kuamkia leo, Global Tv imefunga safari mpaka nyumbani kwa marehemu maeneo ya Mikocheni kwa Mwl Nyerere ambapo ndipo msiba ulipo na kuzungumza na baadhi ya wabunge waliofika msibani hapo juu ya namna walivyoupokea msiba huo.
lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER:
/ globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1
/ uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: