ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

ITAKULIZA! Kilichomuua Prof Maji Marefu, Kaka Aeleza A-Z

Автор: Global TV Online

Загружено: 2018-07-03

Просмотров: 18550

Описание: ITAKULIZA! Kilichomuua Prof Maji Marefu, Kaka Aeleza A-Z

Kufuatia kifo cha Mbunge wa Korogwe kwa tiketi ya CCM, Steven Ngonyani 'Prof Maji Marefu' kilichotokea usiku wa kuamkia leo, Global Tv imefunga safari mpaka nyumbani kwa marehemu maeneo ya Mikocheni kwa Mwl Nyerere ambapo ndipo msiba ulipo na kuzungumza na Kaka wa Marehemu anayeitwa Hilary Ngonyani.

Kwa mujibu wa maelezo ya kaka amesema kwamba marehemu Maji Marefu alikuwa akisumbuliwa na ubaridi kwenye mapafu yaani (Nimonia) na ndiyo hasa ugonjwa uliosababisha kifo chake.

Kaka huyo pia ameelezea ratiba nzima ya mazishi ya Marehemu Maji Marefu ambapo kesho ataagwa katika ukumbi wa Karimjee na kisha kusafirishwa kuelekea Wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi.

Kwa niaba ya Global Tv tunapenda kutoa pole kwa Familia, Bunge, Wananchi wa Korogwe na Watanzania wote kwa ujumla.

"Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe"

Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe    / uwazi   FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:

  / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1  

   / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
ITAKULIZA! Kilichomuua Prof Maji Marefu, Kaka Aeleza A-Z

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KAMANDA MULIRO AFICHUA ALIPO MAFWELE - AJIBU KWA MAFUMBO - ''ULIKUJA UKAMUONA''...

KAMANDA MULIRO AFICHUA ALIPO MAFWELE - AJIBU KWA MAFUMBO - ''ULIKUJA UKAMUONA''...

Kaka wa PROF MAJI MAREFU Amjibu MKE wa Marehemu!

Kaka wa PROF MAJI MAREFU Amjibu MKE wa Marehemu!

ALICHOKIFANYA RAIS SAMIA AMIRI JESHI MKUU BAADA YA KUFYATUA BASTOLA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA

ALICHOKIFANYA RAIS SAMIA AMIRI JESHI MKUU BAADA YA KUFYATUA BASTOLA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA

🔴#Live: MAJIBU ya KAMANDA MULIRO KUHUSU MAFWELE - WATUHUMIWA 46 WALIOKAMATWA DAR - WAPO VISHANDU...

🔴#Live: MAJIBU ya KAMANDA MULIRO KUHUSU MAFWELE - WATUHUMIWA 46 WALIOKAMATWA DAR - WAPO VISHANDU...

KIKEKE USO KWA USO NA MKURUGENZI CRDB BANK, MASWALI MAGUMU, AMTAJA MMILIKI CRDB BANK

KIKEKE USO KWA USO NA MKURUGENZI CRDB BANK, MASWALI MAGUMU, AMTAJA MMILIKI CRDB BANK

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

MAAJABU ya MSTARI UNAOTENGANISHA BAHARI MBILI KUBWA, KWANINI MAJI HAYACHANGANYIKI? SABABU HIZI HAPA

MAAJABU ya MSTARI UNAOTENGANISHA BAHARI MBILI KUBWA, KWANINI MAJI HAYACHANGANYIKI? SABABU HIZI HAPA

Install the circular saw blade into the hand drill! Surprised with the results

Install the circular saw blade into the hand drill! Surprised with the results

Mbunge Prof. Maji Marefu ataka Rais Magufuli aongezewe muda kuiongoza Tanzania

Mbunge Prof. Maji Marefu ataka Rais Magufuli aongezewe muda kuiongoza Tanzania

PROFESA  MAJI MAREFU ALITABIRI  KWA KUWATAJA WALIOMTANGULIA MBELE YA HAKI

PROFESA MAJI MAREFU ALITABIRI KWA KUWATAJA WALIOMTANGULIA MBELE YA HAKI

KWAHERI PROF MAJI MAREFU, AACHA WAKE WAWILI NA WATOTO 12

KWAHERI PROF MAJI MAREFU, AACHA WAKE WAWILI NA WATOTO 12

Мировая роль евреев. Что связывает файлы Эпштейна и иранский вопрос? Дело принца Эндрю. Шевченко

Мировая роль евреев. Что связывает файлы Эпштейна и иранский вопрос? Дело принца Эндрю. Шевченко

MAGUMU ALIYOPITIA NDUGULILE AKIGOMBEA UBUNGE “BABA YAKE ANAFARIKI AMECHUKUA FOMU”

MAGUMU ALIYOPITIA NDUGULILE AKIGOMBEA UBUNGE “BABA YAKE ANAFARIKI AMECHUKUA FOMU”

🔴#BREAKING: RAIS SAMIA NDANI ya KOMBATI za KIJESHI - ANAZINDUA MAKAO MAKUU ULINZI wa TAIFA| DODOMA

🔴#BREAKING: RAIS SAMIA NDANI ya KOMBATI za KIJESHI - ANAZINDUA MAKAO MAKUU ULINZI wa TAIFA| DODOMA

Prof. Maji marefu baada ya kutembelewa na waziri Mkuu hospitalini

Prof. Maji marefu baada ya kutembelewa na waziri Mkuu hospitalini

Mama wa marehemu 'Prof Maji Marefu aelezea kifo cha mwanae

Mama wa marehemu 'Prof Maji Marefu aelezea kifo cha mwanae

PROFILE: 'PROF MAJI MAREFU' Kutoka UGANGA Hadi UBUNGE!

PROFILE: 'PROF MAJI MAREFU' Kutoka UGANGA Hadi UBUNGE!

LISSU AWAKAANGA VIKALI UPANDE WA JAMHURI/AIBUKA KIDEDEA PINGAMIZI LA- ONGEZEKO LA SHAHIDI..

LISSU AWAKAANGA VIKALI UPANDE WA JAMHURI/AIBUKA KIDEDEA PINGAMIZI LA- ONGEZEKO LA SHAHIDI..

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU ANATUMBUA MAJIPU MUDA HUU KILOMBERO - ARUSHA

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU ANATUMBUA MAJIPU MUDA HUU KILOMBERO - ARUSHA

CAG Hana Umeme Kwao, Ubunge Wangu Upo Rehani -Maji Marefu

CAG Hana Umeme Kwao, Ubunge Wangu Upo Rehani -Maji Marefu

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]