TAZAMA RAIS KAGAME AKIMUENDESHA RAIS SAMIA NCHINI RWANDA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-08-04
Просмотров: 133335
Описание:
Ni Rais Samia Suluhu Hassan ambae time hii amemiliki Vichwa vya Habari mitandaoni baada ya mwenyeji wake Rais Kagame kumuendesha.
Sio kwamba Dereva hakuwepo au aliumwa bali ni Rais Kagame kuendeleza ukarimu wake na heshima kubwa aliyompa Rais Samia baada ya ziara hiyo ambayo pamoja na mengine imepigilia msumari wa undugu na ushirikiano wa Nchi hizi mbili.
Rais Kagame ameonekana akimuesndesha Rais Samia Suluhu Hassan katika gari aina ya Range Rover.
Ayo TV imekusogezea video ushuhudie hapa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: