WAKULIMA WA MPUNGA WASHAURIWA KUTUMIA MBEGU BORA ZENYE TIJA KUTOKA TARI
Автор: Mvomero District Council
Загружено: 2024-07-23
Просмотров: 646
Описание:
Wakulima wa zao la mpunga Wilayani Mvomero wameshauriwa kutumia mbegu bora na zenye tija ya uzalishaji ambazo zimefanyiwa utafiti na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo TARI ili kuongeza uzalishaji na kukuza vipato vyao.
Ushauri huo umetolewa Julai 22, 2024 na Mkuu wa Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Halmashauri hiyo Bw. Mohamed Longoi kwenye siku ya Mkulima shambani iliyoandaliwa na TARI katika Kijiji cha Mbogo Kata ya Sungaji Wilayani humo. Bw. Longoi amebainisha kuwa kutokana na mabadiliko ya tabia nchi hivyo wakulima hawanabudi kubadilisha mfumo wa uzalishaji wa zao hilo ili kuendana na mahitaji ya soko.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: