Magoli 'matamu' ya Serengeti Boys ikiichapa Rwanda 4-0; (CECAFA U17 AFCON QUALIFIER)
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-08-21
Просмотров: 543293
Описание:
Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa mika 17 Serengeti Boys imefanikiwa kushinda mchezo wa tatu mfululizo katika michuano ya kufuzu kushiriki AFCON U17 kwa mataifa ya ukanda wa CECAFA baada ya kuifunga timu ya Rwanda mabao 4-0.
Kwa matokeo hayo Serengeti Boys inaongoza kundi A ikiwa na alama tisa ilizozipata katika michezo mitatu iliyoshuka dimbani, na sasa inasubiri mpinzani wake kutoka kundi B kati ya Ethiopia, Kenya na Uganda.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: