Somalia: BBC Afrika Eye yashuhudia mapambano ya vikosi vya Puntland dhidi ya ISIS
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2026-03-16
Просмотров: 6664
Описание:
Africa Eye iliongozana na vikosi vya Puntland vilivyo mstari wa mbele katika mashariki ya mbali ya Somalia, ikichunguza jinsi kundi la Islamic State lilivyojipanga upya, linavyopata wapiganaji wa kigeni, na kupanua ushawishi wake kote Africa.
Wanajeshi wanasema wamewakamata wapiganaji wa kigeni waliokuja Somalia kujiunga na kundi hilo.
Makamanda wa Puntland wanasema tawi hili limekua moja ya vituo muhimu zaidi vya shughuli za operesheni za Islamic State barani Africa.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: