Rais Ruto aendelea kushawishi Mlima Kenya
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 353
Описание:
Rais William Ruto ameashiria kwamba chama tawala cha UDA kitashauriana na kile cha ODM kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao na kukubaliana kuhusu kubuniwa kwa utawala ujao. Akizungumza alipokutana na viongozi wa mashinani kutoka kaunti ya Nyeri katika ikulu ndogo ya Sagana, Ruto alikariri kwamba utawala ujao utakuwa jumuishi ili kuhakikisha kwamba kila sehemu ya nchi inanufaika. Na jinsi mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim anavyotuarifu rais alisema wako tayari na viongozi wenye maono wazi na kuwapuuzilia mbali wale wanaoeneza migawanyiko ya kikabila kabla ya uchaguzi
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: