VITONGOJI 55 HANDENI MKOANI TANGA HAVINA HUDUMA YA UMEME
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2020-12-05
Просмотров: 844
Описание:
Zaidi ya vitongoji 55 vya kata mbalimbali za halmashauri ya wilaya ya Handeni mkoani Tanga ambavyo havina huduma ya umeme,vinatarajiwa kupata huduma hiyo kupitia kupitia mradi wa Rea.
Hayo yamebainishwa na mbunge wa jimbo la Handeni vijijini John Sallu kwenye kikao cha halmashauri kuu ya CCM iliyofanyika mji mdogo wa Mkata kwa lengo la kutoa shukrani kwa wajumbe wa baraza hilo na kusema kuwa utaratibu wa vitongoji hivyo kupatiwa umeme umeanza.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: