JKT YAWAITA VIJANA WAKALIJENGE TAIFA, NI MAFUNZO YA KUJITOLEA
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2026-01-20
Просмотров: 50
Описание:
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linawatangazia vijana wote wa Tanzania fursa ya kujiunga na mafunzo ya JKT kwa kujitolea mwaka 2026. Vijana wenye sifa na taaluma mbalimbali hususan katika fani za TEHAMA, Sayansi ya Kompyuta, Usalama wa Mtandao, Uhandisi wa Kompyuta na mifumo ya taarifa wanahimizwa kuomba. Hii ni fursa ya kipekee ya kujenga uzalendo, nidhamu, ujuzi wa kitaaluma na kuchangia maendeleo ya Taifa.#JKT
#JeshiLaKujengaTaifa#MafunzoYaJKT#JKT2026#VijanaWaTanzania
#AjiraKwaVijana#Uzalendo#ICTTanzania#ComputerScience#CyberSecurity#DigitalForensics#TanzaniaKwanza
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: