“TUNAUMIZA WATANZANIA” : SERIKALI YAPITIA MFUMO WA UFADHILI MASOMO NJE YA NCHI
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2026-01-20
Просмотров: 81
Описание: Serikali imeanza mapitio ya kina ya mfumo wa upatikanaji wa ufadhili wa masomo nje ya nchi baada ya kubaini kuwa wanafunzi wengi wa Kitanzania hukosa fursa hizo si kwa kukosa sifa bali kutokana na changamoto za taarifa, uombaji na uratibu wa kitaasisi. Hatua hiyo inalenga kutekeleza agizo la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuongeza idadi ya Watanzania wanaosoma nje ya nchi na kuboresha mchango wa sekta ya elimu katika maendeleo ya Taifa.#ElimuTanzania #MasomoNje #UfadhiliWaMasomo #Serikali #Wanafunzi #MaendeleoYaElimu #Dodoma #tmcnews565
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: