ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

CHALINZE NI VICHEKO/HAIJAWAI KUTOKEA/WAZIRI BASHUNGWA AZINDUA SOKO LA KISASA/WANANCHI SHANGWE TU.

Автор: Kalunduka Online

Загружено: 2024-10-10

Просмотров: 604

Описание: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara na wajasiriamali kwa kujenga miundombinu ikiwemo Masoko ili kurahisisha ufanyaji wa biashara.

Bashungwa ameeleza hayo Mkoani Pwani leo Oktoba 09, 2024 wakati akizungumza na wananchi mara baada ya kuzindua Soko la Kisasa la Bwilingu pamoja na miundombinu yake lillilopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze lililogharimu Shilingi Bilioni 1.7.

Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imejenga Soko hilo kwa kutambua Chalinze ipo kwenye eneo la kimkakati linalounganishwa na reli ya kisasa (SGR) na kuunganisha Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Dodoma.

“Bilioni 1.7 zilielekezwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia zitolewe katika Halmashauri ya Chalinze katika mapato yake ya ndani wanayokusanya ili zifanikishe ujenzi wa Soko hili la kisasa“, amesisitiza Bashungwa.

Bashungwa ameupongeza Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze pamoja na Waheshimiwa Madiwani kwa kusimamia maelekezo ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na kuwa mfano wa kuigwa kwa Halmashauri zingine kutumia fedha za ndani wanazokusanya kuboresha na kufikisha huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi.

Aidha, Bashungwa amewaagiza watalaam kutoka Idara ya Masoko na Biashara katika Halmashauri hiyo kuhakikisha wanawatembelea mara kwa mara wafanyabiashara katika Soko hilo na kutoa elimu ya biashara ili kusaidia kukuza mitaji ya wafanyabiashara wadogo na wakubwa.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameeleza kuwa ujenzi wa Soko hilo ni mkakati ws kuhakikisha Halmashauri inakuwa na sehemu bora na yenye mpangilio kwa kutoa huduma kwa wananchi pamoja na kuongeza vyanzo vya mapato.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, Wananchi wa Halmshauri ya Wilaya ya Chalinze wamemshukuru Rais Samia kwa kuelekeza fedha kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Soko hilo ambalo limewarahisishia kufanya biashara na kukuza uchumi wa mwananchi mmoja mmoja.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
CHALINZE NI VICHEKO/HAIJAWAI KUTOKEA/WAZIRI BASHUNGWA AZINDUA SOKO LA KISASA/WANANCHI SHANGWE TU.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Уборщик испугался | Агрессивный бодибилдер против 32-килограммовой швабры в спортзале

Уборщик испугался | Агрессивный бодибилдер против 32-килограммовой швабры в спортзале

Пенистая моча: ПРИЗНАК ЗАБОЛЕВАНИЙ Почек? Три Полезных Продукта Для Восстановления Почек!

Пенистая моча: ПРИЗНАК ЗАБОЛЕВАНИЙ Почек? Три Полезных Продукта Для Восстановления Почек!

RC MWASA AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI SHULE YA SEKONDARI KASSAMBYA, AHIMIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

RC MWASA AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI SHULE YA SEKONDARI KASSAMBYA, AHIMIZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

ВСУ могут выйти из Донбасса. Конференция по безопасности в Мюнхене. ЦБ РФ понизил ставку. НОВОСТИ

ВСУ могут выйти из Донбасса. Конференция по безопасности в Мюнхене. ЦБ РФ понизил ставку. НОВОСТИ

Water Supply Project in Chalinze, Tanzania

Water Supply Project in Chalinze, Tanzania

НАТО бросает вызов Москве: Украина получит ещё больше оружия. Шпион в минобороны Польши / Код НАТО

НАТО бросает вызов Москве: Украина получит ещё больше оружия. Шпион в минобороны Польши / Код НАТО

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

⚡️ Секретный объект Украины уничтожен || Киев вводит режим опасности

⚡️ Секретный объект Украины уничтожен || Киев вводит режим опасности

Дорога N9 в Амаравати в направлении Секретариата | Обновленная информация о капитальных работах в...

Дорога N9 в Амаравати в направлении Секретариата | Обновленная информация о капитальных работах в...

Taa za barabarani zaibadilisha Chalinze

Taa za barabarani zaibadilisha Chalinze

Chalinze  Sda Choir -Tokeni Babeli.

Chalinze Sda Choir -Tokeni Babeli.

ЧТО СКРЫВАЕТ ДНО БАЙКАЛА? КУСТО НАШЕЛ ЭТО И УМЕР ЧЕРЕЗ 3 ДНЯ...

ЧТО СКРЫВАЕТ ДНО БАЙКАЛА? КУСТО НАШЕЛ ЭТО И УМЕР ЧЕРЕЗ 3 ДНЯ...

Makongoro Nyerere alivyomvunja mbavu Rais Samia akipewa Tuzo ya kiongozi mchekeshaji

Makongoro Nyerere alivyomvunja mbavu Rais Samia akipewa Tuzo ya kiongozi mchekeshaji

🔴#Live: MSTAAFU KIKWETE na MGOMBEA URAIS wa CCM - DKT SAMIA WAPO KWENYE KAMPENI - MSATA - PWANI...

🔴#Live: MSTAAFU KIKWETE na MGOMBEA URAIS wa CCM - DKT SAMIA WAPO KWENYE KAMPENI - MSATA - PWANI...

Сочи под ударами БПЛА. Зеленский в Мюнхене. Экс-министр Украины задержан при попытке покинуть страну

Сочи под ударами БПЛА. Зеленский в Мюнхене. Экс-министр Украины задержан при попытке покинуть страну

Soko la Chalinze, moja ya masoko makubwa 33 aliyojenga Mama

Soko la Chalinze, moja ya masoko makubwa 33 aliyojenga Mama

TANGAZO LA VIWANJA VINAVYOUZWA NA HALMASHAURI YA CHALINZE

TANGAZO LA VIWANJA VINAVYOUZWA NA HALMASHAURI YA CHALINZE

Адмирал Джихат Яйджи комментирует формат «Турция-Пакистан-Саудовская Аравия»

Адмирал Джихат Яйджи комментирует формат «Турция-Пакистан-Саудовская Аравия»

Стратегия Ирана: сила через изоляцию - Каринэ Геворгян

Стратегия Ирана: сила через изоляцию - Каринэ Геворгян

Шаг за шагом проследили: зачем Греции военный корабль HS Kimon?

Шаг за шагом проследили: зачем Греции военный корабль HS Kimon?

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]