Mamia wajitokeza katika maziko ya kijana aliyepigwa risasi na mlinzi wa kampuni Tanzanite.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2017-01-14
Просмотров: 3851
Описание: Mamia ya wakazi wa vijiji vya naisinyai na losoito wilaya ya simanjiro mkoani manyara pamoja na wawekezaji wa kampuni ya tanzaniate one wamejitokeza katika maziko ya kijana kadogoo mollel ayeuawa kwa kupigwa risasi na mlinzi wa kampuni ya tanzanite one huku viongozi na wazee wa mila wakiwataka wananchi kulichukulia tukio hilo kama mipango ya mungu ambayo haiwezi kuondoa mahusiano mazuri kati yao
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: