Wauwaji wa bilionea Msuya wahukumiwa kunyongwa hadi kufa
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-07-23
Просмотров: 275931
Описание: Viwanja vya mahakama kuu kanda ya Moshi vimegubikwa na simanzi baada ya mahakama hiyo kuwahukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa washtakiwa watano waliokutwa na hatia ya mauaji ya kukusudia ya mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite, marehemu Erasto Msuya.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: