Serikai yaanza kurejesha mawasiliano ya barabara mikoa ya kusini
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-05-06
Просмотров: 5631
Описание:
Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) inaendelea kufanya jitihada za kurejesha mawasiliano ya barabara kwa mikoa ya kusini kutokana na mafuriko yaliyojitokeza na kuharibu miundombinu, huku eneo la Matandu wilayani Kilwa likiwa bado halijapatiwa ufumbuzi kutokana na maji kuongeza kasi yake.
#AzamTVUpdates
Wahariri | Tuya Ibrahim, John Mbalamwezi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: