BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, KUHAKIKISHA BARABARA YA DAR - LINDI INAPITIKA NDANI YA SAA 72
Автор: Wizara ya Ujenzi
Загружено: 2024-05-07
Просмотров: 5567
Описание:
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na wasafirishaji kuwa ameweka kambi Mkoa wa Lindi kuhakikisha anasimamia timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na makandarasi, kuhakikisha wanakamilisha kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam ndani ya saa 72.
Waziri Bashungwa ameeleza hayo, leo tarehe 6 Mei 2024 Nangurukuru wilayani Kilwa wakati akikagua na kusimamia zoezi la urejeshaji wa mawasiliano ya barabara yaliyokatika kwa kuharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha zikiambatana na kimbunga Hidaya.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: